0
  Ommy Dimpoz anaitumia vizuri ziara yake nchini Marekani. Baada ya kurekodi wimbo na producer wa Houston, Texas aliyewahi kutengeneza nyimbo za wasanii wakubwa wakiwemo Davido na Wizkid wa Nigeria, hitmaker huyo wa Tupogo amekutana na rapper wa zamani wa kundi la G-Unit, Jayceon Terrell Taylor aka The Game huko Hollywood, Los Angeles nchini Marekani.
772190782da611e3942122000aaa0535_8
Ommy Dimpoz akiwa na The Game (kushoto)
“Tulikuwa wote Club Hollywood, ni club ya mastaa,” Ommy ameiambia Shebby D  Blog
“Jamaa analindwa sana lakini hakuleta pozi coz tulikuwa tupo na mshkaji wangu ambaye ni mshkaji wa Game pia.”

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X