0
Raheeem akiwa kwenye pozi na Mwanadada Penny

Ama Kweli Mapenzi Kizunguzungu na Ukuyafuatilia Unaweza Ukazimia.Mapenzi ni kama Mchezo wa Karata Ukukosea Kwa Mastaa anakupiku Mwenzako.Hii ni Baada ya Mwanadada Peeny Kuoneakana na Mshakaji ambaye Tulianza Kumuongelea Humu
Humu "Raheem Da Prince" Mshkaji na Brothermen aliyemaliza Chuo Kikuu Pale University Of Dar-Es-Salam.Check Picha Yao kwa Pamoja When You DO Me I Do You


Raheem Akiwa na Wema Sepetu Enzi Hizo Baada  ya Kuachwa na Diamond

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X