Diamond
Platnamz ambae yuko Hongkon kwa sasa, ameamua kutia saini kwenye moja
ya picha yake aliyokuta imebandikwa katika ukuta wa hoteli moja ya
ki-africa, kuonyesha shukrani kwa mmiliki wa hoteli hiyo. Kwambaaali kama naiona picha
ya Wema Sepetu, sasa sijui na yeye amesaini, lol, tutajua baadae
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment