0
Mwanaume mmoja raia wa China amefanyiwa matibabu ya kutengeneza pua mpya ili ije ichukue nafasi ya pua yake ambayo ilidhurika katika ajali ya barabarani mwaka jana (2012).
new nose1
Xiaolian, 22, ameoteshwa pua mpya kwenye paji la uso wake baada ya wataalam kushindwa kuiponya ile iliyoharibika baada ya ajali.
new nose2
Utengenezwaji wa pua hiyo mpya ulifanywa kwa kuchukua sehemu ya mbavu za binadamu kwa kukatwa kwa muundo wa pua. Madaktari wamesema mwanaume huyo anaendelea vizuri na zoezi la kuipandikiza pua hiyo mpya eneo la pua ya zamani utafanyika hivi karibuni.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X