Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….
Wakati
mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili
ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani
mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana
lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Leo tutaongelea Hasara na faida za kujichua au kujichezea kwa mwanamke.
HASARA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUJICHUA
Kujichua
kwa mwanamke kiasili hakuna madhara yeyote, lakini kama unatumia au
unajingizia vitu au vifaa Ukeni (Sanamu) zinaweza kukusababishia
maaambukizo, "kutifua" misuli ya uke na kusababisha uke wako kulegea,
nyama kujitokeza kwa nje.
Ukizoea kutumia Sanamu kujichua utashindwa kusikia utamu kila utakapofanya ngono na mwanaume kwa vile sanamu ni ngumu japokuwa watu watakudanganya kuwa ziko na texture kama uume asilia lakini sio kweli, Mungu aliumba uume kwa ajili ya kuingia ukeni na sio sanamu.
Mazoea hayo yatakufanya kihisia udhani kuwa mwanaume hana uwezo wa kukuridhisha kingono na hivyo kumuomba akufanye kwa kutumia sanamu badala ya uume wake kitu ambacho nitakiita "madhara ya kujichua kwa kutumia sanamu".

FAIDA ZA KUJICHUA:
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment