3


Huu  ni  mkusanyiko  wa  maombi  ya  wadau  wanaosaka  wapenzi  na  wake  au  waume....

Ili  kurahisisha  zoezi  hili, kuna  forum imeanzishwa  (MZALENDO FORUM ) ambako  maombi  yote  yamewekwa  huko.....

Hiyo  ni  sehemu  maalum  ya  kumtafuta  umpendaye...Jiachie  kwa  kadri ya  uwezo  wako  na  mungu  atakupa  chaguo  lako....
-----------------------------

OMBI LA KWANZA
natafuta rafiki wa kiume awe mwisilam awe umri kuanzia miaka 26_30 awe anajishughulisha na kazi .awe msikivu mwenye mapenzi ya dhati pia mrefu
.piga namba hiyo 0688767421 utajibiwa.



OMBI LA PILI:
halila mohamed
Umri wa anayemtafuta 26-32
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Mvulana.
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo AWE AMESOMA ELIMU YAKE ANGALAU AWE AMEFIKA FORM SIX, PIA AWE NI MFANYAKAZI AU AWE MFANYABIASHARA.
 

PIA NAPENDA AWE NI MCHA MUNGU NA AWE NI MKRISTO NA AWE NI MCHA MUNBGU
Wasifu wake na vitu anavyopenda: ELIMU YANGU CHUO KIKUU TUNGUU BADO SIJAMALIZA NIKO MWAKA WA TATU
Nchi anayoishi sasa zanzibar
Email halila@yahoo.com
Simu yake 0777035124

Sababu ya kutafuta ni KUFUNGA NAE NDOA

--------------------------

KWA  MAOMBI  MENGINE  50, BOFYA  HAPO  CHINI

Post a Comment

  1. matafuta mpendi wa kufanyanae mapenzi awekuanzia 30 yrs anitafute gambiroo@gmail.com

    ReplyDelete
  2. natafuta mpenzi wa maisha yaan ikibidi awe mke na awe na umri kuanzia miaka 18 nitafute bsamweli20@gmail.com, den ntakupa contact zangu

    ReplyDelete
  3. nahitaji msichana au jimama msafi nifanye nae mapenzi chek me0718053784

    ReplyDelete

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X