Habari hiyo ililipotiwa jana na magazeti ya udaku ikisimulia jinsi Diamond na Uwoya walivyonasana na hatimaye kuvunja amri ya sita....
Katika habari hiyo, msemaji ni Diamond na wapambe wake ambao wanasimulia jinsi walivyomnasa Uwoya na kumfanya akubali kuvua nguo....
Baada ya habari hiyo kutoka, Uwoya alishindwa kuyaamini macho yake na hii ndo kauli yake aliyoitoa:
“Kuna saa najiuliza kwanin ukimwamini mtu ndio anageuka...kwanin ukiwa muwazi watu wanakuchukulia vbaya?
"Leo( jana) nimeumia sanaaa kuliko sikuzote...sijaamini mtu niliye mwamini kumuona kama rafiki yangu anaweza kuongea shit kuhusu mim...
"Au najiuliza siruhusiwi kuwa na rafik wa kiume? Lakin sa nyingine nakaa chin nasema God ...u know me better”...Uwoya
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment