Home
»
KITAIFA
» "TUTAIFUTA CHADEMA ENDAPO ITABAINIKA KUWA WALIRUSHA BOMU LA ARUSHA WENYEWE"....TENDWA
Msajili
wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa, amedai kuwa ikibainika kuwa
CHADEMA ndio
waliohusika katika kulipua bomu katika mkutano wao wa 15/06/2013
atakifuta.
Tendwa
ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika kipindi cha
Hot Mix cha East Africa Television akijibu swali la mtangazaji wa
kipindi Adrian Stepp kuhusu hatua zitakazochukuliwa...
Alipoulizwa
kama itathibitika kuwa CCM ndio
walihusika kulipua bomu hilo amedai kuwa hawezi kukifuta kwakuwa kwa
kufanya hivyo itakuwa ni kufanya mapinduzi ya kalamu.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment