MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel
Haule alijikuta akichezea kibao cha ukweli na kusababisha aangue kilio
wakati alipokuwa akirekodi sinema.
Akizungumza na Stori 3, sosi aliyeshuhudia tukio hilo lililotokea maeneo ya Mwenge, jijini Dar alisema msanii huyo alikuwa katika kurekodi moja ya vipande vya sinema yake mpya lakini kutokana na matakwa ya filamu hiyo kuonesha hisia za kulia, ilibidi Baba Haji
amshushie kofi fastafasta.
Siku hiyo sikuwa kwenye mudi sababu kuna mambo yalinichanganya, nilishindwa kuvuta hisia za kulia ndipo niliposhtukia kofi la Baba Haji na machozi yalinitoka yenyewe, hii kazi
yetu hii we acha tu, alisema Recho.

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment