Hii imetokana na ukweli kwamba wasanii wengi kwa sasa wana iphones, Sumsung ama simu zinazotumia mfumo wa Android na hivyo kuwa na access rahisi ya akaunti za Instagram.
Jacqueline Wolper (5890+), Wema Sepetu (14,130) na Elizabeth Michael aka Lulu (9,440+) ndio waigizaji wa filamu wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao huo. Hivyo, kwa kutazama picha hizi, nani ni malkia wa Instagram kati ya hawa?
Jacky Wolper
Lulu
Wema Sepetu
Lulu mkali sana kwanza bado mbichi kabisa hao wengine vicheche tu alafu wazee
ReplyDeletekwa upande wangu namkubali sana Jacky Wolper ni mwanzo mwisho huyo mtoto nampa 5
ReplyDeletewote siwa hawafahi hapo labda angekuwepo ant ezekieli na kidoti na Rose ndauka
ReplyDelete