Ommy Dimpoz kwa mara nyingine
ameamua kupaaza sauti yake na kuwaomba watanzania wamsamehe kwa
kauli zake mbaya kuhusu marehemu Ngwea....
Sambamba na msamaha huo,Ommy anadai
kuwa amejifunza kutokana na kosa lake na kwamba hatarudia
tena...
Uamuzi wa kuomba msamaha kwa mara
ya pili umekuja baada ya msanii huyu kupigwa mawe mjini
Dodoma hivi juzi
Hii ni kauli yake kupitia
ukurasa wake wa facebook:
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment