Juzi, mbunge wa mbeya mjini alitoa
tusi zito kwa waziri mkuu wa Tanzania na kudai kuwa Tanzania
haijawahi kuwa na waziri mkuu mpumbuvu kama yeye...
Kupitia account yake ya facebook,
Sugu, ambaye ni mbunge wa mbeya amezidi kusisitiza kuwa hawezi
kuomba msamaha wala kuifuta kauli yake....
Hii ni post yake facebook:
"...naskia
kuwa watu wanasema kwamba eti nimefuta kauli yangu kuhusu waziri mkuu
na amri yake kwa polisi kupiga wananchi?!...
Sina sababu ya kufuta wala
kuomba radhi, na nasimamia kauli yangu to the end...kwanza 'upumbavu'
sio tusi,upumbavu kwa kiingereza ni stupidity-which is lack of knowledge
and understanding...
So hata
uwe na cheo gani kama ukishindwa kuwa na
'understanding' juu ya madhara ya kauli zako kwa taifa then u r
'stupid'...ambapo kwa kiswahili ndio 'mpumbavu'..."
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment