Siri ama faragha ni haki
ya msingi ya binadamu, lakini mambo
yakiharibika na maji yakaanza kuvuka shingo kila kitu huwekwa hadharani,
ni
kama wazee wa Kiswahili walivyosema ‘mfichaficha ugonjwa kilio
kitamuumbua.’
Mwanamuziki MKenya
ambae pia ni mwanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu anaefahamika
kwa jina
la Geoge Barasa a.k.a Jojibaro amejitokeza hadharani na kujitangaza kuwa
anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja (ushoga).
Mwanamuziki huyo mwenye
umri wa miaka 22 amekuwa mwanamuziki
wa kwanza kutoa tamko hilo zito kwa kuzingatia kuwa vitendo hivyo
havikubaliki
kisheria na hata kijamii.
Joji Baro ameandika mkasa
unaohusu maisha yake na kwamba
tayari anaishi na virusi vya Ukimwi alivyoambukizwa kwa makusudi.
Anasema ameanza tabia
hiyo akiwa bado yuko shuleni na wazazi
wake walisikitika sana baada ya kugundua kuwa alikuwa shoga na kuamua
kumtenga
kabisa.
Hiki ndicho alichoandika:
Many people know me as
Jojibaro. Am gay who is living
positively with HIV. I came out 1st time on facebook and I would like to
come
out to the outside world now. I know being gay is unacceptable in our
African
Society but I guess it is time that the society knows what some gays go
through. I was disowned by my parents while in highschool cause they
found out
am gay. I was still naive, vulnerable and fragile; it is because of that
that
someone knowingly infected me. I have since moved on and I am a living
testimony.
Many people can attest
to that. I have made friends all over
the world for coming out. I have made bigger steps since. I have learned
that
being gay is one thing and being HIV+ is another thing. I have won
several
accolades most recent one being Mr Red Ribbon 2013. People ask me
whether I
would like to go back home, but two and a half years down the line I
still
mourn the loss of my parents who are still alive. Even with all these
success I
still miss one thing a family. I miss the place I lost in the community.
But I
am slowly gaining it all back by accepting myself that am gay and am
HIV+. I am
working on my album soon to be out titled "Rainbow" And I have
dedicated several songs to HIV survivors. I would like them to know that
when
you become positive, you start living positively.
I have dedicated the
rest of my life towards
community/social work as my way of giving back to the society. So that
by the
time I leave this world, I may leave it a better place than how I found
it. But
not on earth where one has to always introduce themselves as "Hi am gay
and am HIV+!"


Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment