Baada
ya kukaa kimya kwa kipindi cha muda mrefu ,muigizaji mkongwe wa
filamu maarufu za action Arnold Schwarzenegger, ameamua kurejea upya
katika ulingo huo huku 'Terminator 5' ikitegemewa kurekodiwa mwezi
January mwaka ujao.
Hii itakuwa ni mara ya 4 kwa mcheza filamu huyo kushiriki katika movie hiyo baada ya kushindwa kushiriki katika Terminator 4 kutokana na majukumu ya u-Governor wa Califolirnia wakati inatengenezwa
Hii itakuwa ni mara ya 4 kwa mcheza filamu huyo kushiriki katika movie hiyo baada ya kushindwa kushiriki katika Terminator 4 kutokana na majukumu ya u-Governor wa Califolirnia wakati inatengenezwa
PRO-24
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment