RPC wa mkoa wa Arusha naye
aliambatana na mkuu wa mkoa na muda huu alikuwa anatoa nasaha
zake kwa wananchi....
RPC ameeleza kuwa tukio hili ni la
kigaidi. Katika maelezo yake, RPC amesema kuwa aliyehusika
alijitokeza nyuma ya
jengo kwa kujificha na kurusha bomu. ...
Amesema Polisi wanawasaka waliohusika
na unyama huu na ameomba yeyote mwenye taarifa yoyote aisaide
polisi. ..
Waliojeruhiwa ni 50 .Hao wana majeraha
ya kawaida na 3 wako mahututi
Mpaka sasa mtu mmoja anashikiliwa na
polisi kwa
mahojiano zaidi

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment