0
Katika kuhakikisha kwamba ubora wa filamu Nchini Tanzania unazidi kukua kampuni ya RJ Company imeshusha vifaa vingine vya kisasa ili kuzidi kuongeza ubora wa kazi katika kampuni ya RJ Company kama kawaida slogan yake inavyosema BEST QUALITY EVER kwa hiyo wadau wa tasnia hii mtegemee mazuri toka katika kampuni yako bora ya RJ Company..

Hapa wakianza kuifunga Camera mpya ya kisasa..

wakiwa makini katika swala zima la ufunguji wa Camera.

  Razack Ford akiwa makini katika kuifunga Camera hiyo...

Boom Mic ya kisasa kama mnavyoona wadau mambo yatakuwa sio mchezo..

Hapa mambo yakiwa yamekamilika wadau

Camera

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X