Vyombo vinavyohusika vimewakama watu
sita, ikiwemo raia wanne wa Saudi
Arabia, kwa kuhusika na shambulizi la bomu lililoua watu watatu na
kujeruhi makumi katika kanisa Katoliki la Olasiti, Arusha
Rais Kikwete ameliita tukio hilo “tendo
la kigaidi”...
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo,
amethibitisha kuwa watu sita
wamekamatwa, ambapo kati yao wawili ni Watanzania, na Wanne ni Wasaudi
“Uchunguzi bado unaendelea,” alisema RC
Mulongo, na kuongeza kuwa Wasaudi hao waliwasili Arusha Airport siku ya
Jumamosi.
Aliongeza kuwa Watanzania wawili
waliokamatwa ni Wakristo. Hakutoa maelezo zaidi
Mlipuko ulitokea nje ya kanisa Katoliki
la Mtakatifu Joseph, Arusha
Imetafsiriwa kutoka Al-Jazeera
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment