
Majambazi
yamempora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi na kutokomea
kusikojulikana....
Tukio hilo limetokea jana
jioni na inavyosemekana ni kuwa mwanamke huyo alikuwa akitoka
benki ya CRDB tawi la Uhuru ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikuwa
yakimfuatilia..
Alipotoka ,majambazi hayo yalimfuata
na kuligonga gari lake makusudi na ndipo dada huyo aliposimama
ili angaalie nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja alishuka na
kumpiga risasi ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha pesa. ..
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment