
Mkali wa
miondoko ya bongo fleva anatamba na ngoma yake kali aliyomshirikisha
OMMY DIMPOZI chukua tyme SUMA MNAZALETI ameyasema maneno hayo kwa
njia ya masseji Alisema'' ebana nadhani unajua nini kinaendelea kuhusu
lady jaydee! nachukua nafasi hii we kaka yangu ambaye umenisaidia sana
kwa mda mrefu kukujulisha kuwa mdogo wako,Nitakuwa msanii miongoni mwa
wasanii wanao support maneno ya lady jay dee Nakwambia haya kwasababu
najua umenisaidia sana,but kama baada ya haya utaamua kuona sifai sio
tatizo pia! no interview 4 NOW Nilikuwa nakupa habari kama ndugu yangu
wa karibu. lakini kama hili unaliunga mkono sio mbaya ukinijulisha
kwamba hakuna tatizo na unaendelea kusaport kazi zangu. alimaliza
kwakuandika jina lake suma mnazaleti.
Mwandishi
wetu alinyanyua simu kutaka kujua zaidi juu ya sakata hili
mzazi
kwanini umeamua kuchukua maamuzi hayo mazito? Suma alisema ana sababu
nyingi sana ambazo zimemfanya amuunge mkono lady jaydee kwenye mambo
yake yanayomsibu sasa hivi na kubwa zaidi pia alizungumzia jinsi watu
walivyomkatili kwenye tuzo za kili ambako kwenye academi alionekana
kupata nafasi zaidi ya 3 kuwa nominies ikiwemo ya wimbo bora
wakushirikiana lakini mwisho wa siku hakuingia hata sehemu moja, pili
alilalamika kwakutopata airtime ya nyimbo zake kabisa katika kituo
ambacho lady jaydee anarushiana nacho maneno na mengine mengi suma
mnazaleti alifunguka.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment