Ngwea
akiwa na msanii M to the P jana
south africa.
Hussein Original ambaye yupo Pretoria
amesema Ngwear na M to the P ambaye walikuwa room moja walitakiwa kurudi Tanzania leo wakitokea
Afrika kusini..
Walipowapitia, waliwakuta wamezima
kwenye room wote
wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya...
Mpaka sasa M to the P yupo hoi
katika hospitali ya St. Hellen huku msanii Ngwair akiwa tayari
amekwishaaga dunia.....
Tunaendelea kufuatilia undani wa
tukio hili
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment