Ikiwa
ni miezi minne tu imepita toka tulipoingia rasmi kwenye mfumo dijitali
(digital system) kwa vituo vya televisheni.. Startimes wamepandisha
gharama ya vifurushi..
Kile kilichokuwa
kinauzwa Tshs. 9,000 sasa
kitauzwa Tshs. 10,000..
Kile cha Tshs.
18,000 sasa kitakuwa Tshs.
20,000.. Kile cha Tshs. 36,000 sasa
kitakuwa ni Tshs. 40,000.. Itaanza
rasmi tarehe 15 April..
TCRA waliahidi
mambo mengi mazuri kwenye mfumo dijitali..Ahadi yao imegeuka na
kuwa ndoto.....
Vifurushi vinapanda huku huduma
ikiwa ni mbovu hasa kwa hawa Startimes
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment