0

Akistorisha na Stori 3, Beautiful Onyinye amesema kamwe hawezi kumtumia Kajala katika muvi ili kulipa fedha alizomlipia kama dhamana badala yake atakuwa akimlipa kama wanavyolipwa wafanyakazi wengine ambapo tayari wameanza mzigo.

“Filamu ya Princess Sasha ndiyo tunaanza nayo, tutashutia maeneo ya nje ya Dar. Tunahitaji mandhari ya kijijini ili kuukamilisha mzigo huo,” alisema Wema.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X