| LOCATION ILIANZIA HAPA |
| NAY WAMITEGO AKIJIANDAA |
| Lights on ....camera on set.... |
| Mara bangi mara matusi sa ndo miziki gani? |
| kama kawaida usafi uliendelea |
| DJ Ommy Crayz akiwa na msanii Oboy toka South Africa nao walikuwepo. |
| Diamond kama kawa na warembo |
| Kutoka kushoto ni Oboy Mnyamaa ,Esma Khan,Faridah,Mariam na diamond msafiiiiiiiiii |
| Wamitego na warembo wa ukweli |
| Warembo kibao na waukweri walijitokeza katika kupamba video |
| Mambo yalizidi kunoga |
| MZIGONI KAMA KAWA |
| location ya Casino |
| Baada ya kumaliza shooting ya pale casino mzigo mzima uliendelea na sasa na ndani ya sinza kumalizia shooting kwenye Graphic iliyochorwa na Mkong`oto Jazz Band..... |
| Wasafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii |
| Maandalizi yalianzia hapa hii ni baada ya kuwasili Sinza |
MKONG'OTO JAZZ BAND....!! |
Jamaa huyu ndo aliyechora Graphic zote kutoka mkong`oto Jazz Band |
| on set ...location 2 Sinza |
| DJ OMMY CRAYZZ.............. |
| Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata |
| hii ni hip hop haichokwi |
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment