Dereva boda boda
Japheth Aser akiwa
na abiria wake Terresia Mapiu wakielekea eneo la Retco Bar ambapo
walipata ajali mbaya ya boda boda kuhama njia na kutumbukia
katika mtaro na kupelekea kujeruhiwa vibaya wakati wa ziara ya
waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa
Wananchi wakishuhudia ajali hiyo mbaya iliyotokea wakati wa msafara
wa Lowasa leo hapa ni baada ya boda boda hiyo kupata ajali
katika mtaro ni boda boda yenye namba T 495 CCR
Dereva wa boda boda
hiyo ambae ni
majeruhi akiwa amepakiwa katika buti ya gari lenye namba T 910 CGA
kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa baada ya ajali hiyo
mbaya
Mmoja kati ya madereva
boda boda
ambae jina halikuweza kufahamika akisogea kutoa msaada kwa mwenzake
aliyehifadhiwa katika buti ya gari baada ya ajali kutokea
Dereva boda boda
akiwa hoi ndani ya buti ya Taxi akikimbizwa Hospitali ya rufaa ya
mkoa wa Iringa
Muuguzi Teresia Mapiu
ambaye ni
muumini wa kanisa la Overcomers POwer Center (OPC) mkoani Iringa
akisubiri matibabu baada ya kupata ajali mbaya ya boda boda wakati
akiwa kwenye msafara wa waziri mkuu mstaafu Edward LOwassa leo mjini
Iringa
Hivi ndivyo muuguzi
Teresia Mapiu alivyojeruhiwa katika ajali hiyo mbaya
mmoja kati ya
madereva boda
boda
kushoto akiwa na muuguzi
wa Hospitali ya
rufaa ya mkoa wa Iringa
wakimsaidia dereva boda boda Japheth Aser aliyejeruhiwa katika ajali
ya boda boda iliyotokea wakati wa msafara wa LOwassa
Mashuhuda
wakishuhudia ajali hiyo
mbaya kwa kuitazama
piki piki
ikiwa katika mtaro
eneo la
Retco bar
barabara ya Iringa -Dodoma mjini Iringa
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment