Home
»
ENTERTAINMENT
»
KITAIFA
» Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba watembelea kaburi la marehemu Kanumba.
Muigizaji
Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua
miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja
tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii
huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha
msanii huyo, yuko nje kwa dhamana. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio
hilo
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment