Ukimwangalia tu utamkubali huyu ndiye kisura wa ukweli anaitwa NEECCIA JAY kuwa anaweza kuja kuwa super star mkali sana wa baadaye hapa Tanzania na nje ya nchi hii.
Huyu kisura wetu kwanza ni msomi wa ukweli, yupo UDOM na huu ni mwaka wake wa pili anachukua degree ya internatinal relation. Ana ndoto nyingi sana ikiwemo kuja kuwa msanii wa mziki na muigizaji mkubwa sana hapo bongo na nje ya nchi. Ni mtu asiyependa majungu na maisha kuigiza na anapenda sana kuchati na watu.Katika muziki anamkubali sana msanii Lady jay dee na kwenye filamu anasema Monalisa ni mkali zaidi na anapenda sana aje kuwa kama wasanii hao na baadae aje apate mafanikio makubwa zaidi. Ila kwa sasa anakomaa na kitabu kwanza kwani elimu ndio kila kitu katika dunia ya sasa.
 |
| NEECCIA JAY |
SHEBBY D BLOG
inakutakia kila la heli kwenye ndoto uweze kufanikiwa vyema pia
tunashukuru sana kwa ushilikiano wako ulionyesha mwanzo hadi mwisho.
weraaaaaaaaaa
ReplyDelete