Kwa Kumdhalilisha
Bi.Wema Sepetu kwa kumrekodi katika simu na kusambaza mazungumzo nyeti !
Kitendo
cha
Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond,cha
kurekodi
mazungumzo yake na star wa Bongo Move Bi.Wema Sepetu,
na
kuyatuma mazungumzo
yao ya mapenzi katika mitandao ni kitendo cha "Udhalilishaji
wa Mwanamke" . kwa
kuwa wanamuziki na wasanii wote
wanatakiwa wawe ni mfamo na kioo cha jamii katika kuielekeza jamii
kuishi
kwa
kufuata na
kuheshimu maadili ,lakini mwanamuziki Diamond ameonekana kuwa ni
kiongozi
wa "Udhalilishaji wa Mwanamke" kufuatia
kitendo chake cha
kurekodi
na kusambaza
mazungumzo yao ya simu ya kimapaenzi kati yake na
Bi.Wema
Sepetu na
mpenzi wake wa sasa Bi.Penny,kitendo hiki ni cha "kuwadhalilisha
wanawake wa kitanzania"Tunaowaomba akinamama
na
kinadada na
wanawake wote kwa ujumla kususia kununua video,vcd,cd
pia
kugomea kuhudhuria
onyesho lolote lile litakalofanywa na mwamuziki
Nasibu
Abdul Juma aka
Diamond hadi pale atakapo waomba radhi wanawake wote
wa
kitanzania popote
pale walipo.
Wanawake
wote
wanatakiwa kugomea maonyesho ya mwanamuziki huyo na
na
kutonunua bidhaa za
mwanamuziki huyo Diamond ili kukomesha kabisa tabia hizi chafu za "Udhalilishaji
wa
Mwanamke"
Wanawake
wote ambao
wamempa like au ad katika mitandao kama facebook kujiondoa mara moja na
kogemea
kununua jarida au gazeti lolote litakalo mpamba mwanamuziki huyo.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment