Msanii wa muziki
wa nchini Uganda ambaye pia anasimama katika namba 10 kutoka top 10
ya wanamuziki tajiri zaidi Afrika, Jose Chameleone wa Uganda,
anatarajia kuifanya tarehe 26 mwezi Aprili mwaka huu kuwa siku kubwa
sana ambapo ndipo amepanga kuzindua albamu yake ya Badilisha.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment