3
Kwa wale wapenzi wa safu hii leo tupo tena na hawa hapa ndo waliotuma maombi yao. Kazi kwako jipatie mchumba............


Naitwa Muga nipo pande za Runzewe natafuta marafiki wa kuchati nao kwenye Whatsup na fb no 0766666654


Naitwa Wilson nipo Dar nina miaka 23 natafuta marafiki wa kuchati no 0652418467

Naitwa Abeli Kikimba napatika Iringa, umri wa miaka24 ,elimu yangu ni chuo ila bado nasoma natafuta mchumba wa ki Tanzania mwenye umri chini ya miaka 23, awe anajua kupenda na anajipenda mwenyewe, dini awe mkiristo asiwe mlevi na awe mpenda watu wote asiwe mnene mwenye sifa hizo anicheki 0763175935

Jina Jof, miaka 23, kabila mhehe, elimu darasa la 7, naishi Dar . Natafuta mchumba kabila lolote ila awe mkiristo, asiwe mnene ila rangi yoyote asiwe amejichubua yeyote aliye siliaz apige 0758563842 sms zitajibiwa haraka sana.

Naitwa Jackob nipo Mbauda  Arsha umri 26 kazi ni mjasiliamali ,nahitaji  mpenzi wa kike mwenye sifa zifuatazo .... mnene kiasi, elimu kuanzia kidato cha nne awe na kazi halali ya kujipatia kipato , umri 20 -26 asiwe mwanafunzi tuma sms kupitia kwa no 0783453143 au 0754675956 na sms zote zitajibiwa.

Naitwa Fortu natafuta rafiki wa kike sichagui kabira wala dini 0715657755

Mimi naitwa naitwa Raymond natokea Mbeya nina miaka 20, natafuta mchumba awe na umri kuanzia 18  na kuendelea mawasilano yangu 0757016641 anitafute kuanzia leo

Mi Samson natafuta mchumba wa kike wa kufunga nae ndoa umri 18 - 20 wasifu wa ndani , awe mkiristo EPCT, awe na mapenzi ya kweli sio ya pesa awe tayali kuishi katika shida na raha aliye tayari tuwasiliane kwa 0766063103 nipo Singida.

Natafuta  mchumba wa kiume  mi naitwa Annie nipo Arusha, Mimi miaka yangu ni 24 nahitaji mchumba alie nizidi kidogo. No 0768333310.

Naitwa Juma mi natokea Tabora umri wangu miaka 25 natafuta marafiki wa kuchati nao tubadilishane mawazo no 0782130580 au 0759394779

Naitwa Kristopher nipo Dar natafuta mchumba, kazi ya yangu ni afisa mauzo, natafuta mchumba anaye jishugulisha na kazi yoyote umri kuanzia 25 - 27 namba 0656137269

Charle ndio jina langu natafuta mchumba mi nipo dar umri 22 - 27 , kazi tukifahamiana. Dini yake awe mkiristo simu 0659879710 sms zitajibiwa no kubip

Mi naitwa Hamadi Juma natafuta mke wa kuowa sibagui dini wa kabila nipo Geita mjini atakaye kuwa tayari anipigie namba hii 0763512812

K Mizo nina miaka 20 natafuta mchumba wa kuoa 0759552125

Naitwa Joasi natafuta mchuma dini RC kama tofauti awe tayari kubadili , mi ni mfanya biashara, ndogondogo sibagui kazi, fani,elimu nk kwani mke anatoka kwa Mungu aliye tayari anitafute no 0759654065 kwa usumbufu sitaki.

Natwa Alpha naishi Ngara mimi ni mvulana natafuta wasichana wa kubadilishana mawazo kutoka mikoa yote kwa njia ya simu namba 0758001277 au 0684360366 

Naitwa Jelemiah Raphael nipo Tanga natafuta  mchumba awe mwenye umbo la chupa ya soda mweusi wa wakupendeza umri 18 - 20 no 0657687013

Mambo vp mko pouwah me kwa jina naitwa danson au (Man dizo) naishi dar meneo ya Makongo juu nina mika 20 najitokeza kutafuta warembo wa kuchati nao popote pale  walipo umri kuanzia 18 - 25 sms zitajibiwa aliye tayari anicheki kwa no 0719953097

Mambo wadau? naitwa  Chaz nipo Dsm natafuta mchumba , sifa zake awe mkiristo mcha mungu , umri 22 - 25 mwenye rangi asiri namba yangu 0659879710 

Natwa Frank 19 natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao namba yangu 0754233263.

Naitwa Charles niko Dar natafuta mchumba 18 - 22 baadae tufunge ndoa awe tayari kupima  pia awe mweupe asiwe mrefu awe mkweli nipigie 0762898670

mimi naitwa John natafuta mchumba no 0659385494

Naitwa Christopher Charles natafuta mchumba sifa awe mweupe awe awe na kazi idara yoyote ya serikali umri 20 - 26 pia mkiristo anaye mtambua mungu, umri wangu ni miaka 27 kazi nipo idara ya ulinzi (JWTZ) nipo Kigoma elimu shahada kwa mawasliano zaidi 0767400402/0712864878 thanx!

Naitwa casto nipo Dar natafuta mchumba mwenye miaka kati ya 18 - 20 awe mcha mungu no 0752179603

Naitwa Omary nipo dar natafuta  mpenzi 0656758316

 Kwa wale ambao maombi yao hayako hewani leo wasichoke wazidi kutufatilia kupitia mtandao huu.

                                                                                                             

Post a Comment

  1. Naitwa Peter kutokesha kilimanjaro rombo na umri wamiaka 20 nahitaji marafiki wakike wakubadilishana mawazo no zangu 0784017108

    ReplyDelete
  2. Natafuta Mchumba jamani, nimechoka kuwa Single, bofya link hapa utaniona
    https://bongopenpals.blogspot.com

    ReplyDelete
  3. Naitwa joni naishi arusha natafuta mchumba awesiriazi awenamiaka 25-30 awe mkriso namcha mnguasiwe nawatoto na siwe mweusi sana awe wawasitani naawe yuko tayari kuji shulisha nakazi 075381176

    ReplyDelete

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X